Usalama wa dorola nchini Kenya.

 

 

Gazeti la inyangenews,jana siku ya jumapii limeweza kumunukuru Mheshimiwa Rais Mwigai Uhuru Kenyatta,alipokuwa akitoa hutuba yake kama rais wa nchi hiyo.Amemuomba bwana Raila Odinga kinara wa chama cha Cord-ODM,akimuomba kuheshim rais wa nchi hiyo kama vile na yeye anaweza hitaji heshima akiwa rais wa taifa la Kenya.


 

Ktk hotuba yake rais wa Kenya,alimshtum bwana KinaraRail odinga kupanga njama za vurugu ya maandamano na kuchochea ukabila katika taifa la Kenya,ikumbukwe kwamba taifa hilo lina wananchi millioni (42);na kabila (42);taifa hili limekumbwa na machafuko mnamo mwaka wa 2007-2008 ambapo walipoteza wananchi takribani 1500 walio kufa kwa machafuko ya kisiasa.

Hayo yakijili inasemakana kwamba kinara wa Cd-ODM bwana Rail Odinga,anachangia pa kubwa katika mswaada wa usalama mdogo unao zidi kuwa janga linalo kumba taifa hilo,duru zinasema kwamba yawezekana kwamba Raila Odinga ana uhusiano kati yake na wanamgambo wa Alshaabab ambao wamekisiri taifa la Kenya kwasababu walienda kurudisha amani aktika taifa jirani la Somalia.

Mpaka sasa wanamgambo wa alshaabab wavamia vituo vya police kadha wa kadha katika taifa la Kenya,wamelipua mabomu ya hapa na pale na wanachi wa Kenya wengi wao wamekufa wakapoteza maisha yao,wengine wejeruhiwa kiasi kikubwa ambapo hawataweza kijimudu kimaisha.

Kulingana na habari tunazo zipata hapa kwenye ofice ya utangazaji wa habari inyangenews,zinazotoka kwenya wandishi wa habari katika taifa hilo,kinara wa Cord-ODM anasema kwamba serikali ya Jublee inayo ongozwa na Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake wa rais Samuei William Ruto,wameshindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kenya na kuwapatia usalama kama walivyokua wameahidi wa kenya katika manifesto yao ya kuongoza taifa hilo.

Na amesisitiza ya kwamba usalama usipo boleshwa,hana budi kupanga maandamano pamoja na wakenya wanao ipenda inchi yao kwasababu ni jukumu la serikali kuwapaia wananchi usarama katika taifa lao la Kenya.

inyangenewseditor@gmail.com

Skip to toolbar