Umoja wa Ulaya (EU) umeweka vikwazo kwa mashirika ya ndege kutoka nchi 12 za Afrika, hatua inayozuia mashirika hayo kufanya safari za ndege kwenda katika nchi wanachama wa Umoja huo kutokana na changamoto zinazohusiana na viwango vya usalama wa anga.
Nchi zilizoathiriwa ni Angola, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Djibouti, Equatorial Guinea , Eritrea, Liberia, Libya, São Tomé na PrÃncipe, Sierra Leone, Sudan na Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa kuhusu orodha ya usalama wa anga ya Umoja wa Ulaya, jumla ya mashirika 87 ya ndege yamehusishwa na vikwazo hivyo.
 egretnewseditor@gmail.comÂ



