HomePoliticsKuna uwezekano wa vita kubwa mashariki ya kati

Kuna uwezekano wa vita kubwa mashariki ya kati

Rais wa Marekani Donald Trump ametetea vita vya nchi yake dhidi ya Iran, akidai kuwa Tehran ndio ilianzisha vita dhidi ya Washington.

Trump aidha amedai kuwa, kipindi cha usitishaji wa vita kati ya Marekani na Iran ilikuwa ni kupoteza muda.

Katika hatua nyengine, Trump ameeleza kuwa Iran imetegeneza makombora yenye uwezo wa kufika barani Ulaya na inaweza pia kulenga baadhi ya Miji nchini Marekani.

egretnewseditor@gmail.com 

RELATED ARTICLES
- Advertisment -
Google search engine

Most Popular

Recent Comments