HomePoliticsPakistan na Uturuki waingilia mgogolo wa vita katika mashariki ya kati

Pakistan na Uturuki waingilia mgogolo wa vita katika mashariki ya kati

Mashambulizi yanaendelea katika mashariki ya kati, vita ambavyo vimeanzishwa na Wahouth wa YEMEN wa kishambulia SAUDI Arabia. Hata hivyo Saudi imeweza kuwarudisha nyuma mpaka nchini Yemen. Lakini mzozo wa vita hivyo unazindi kuendelea.

Nchi ya Pakistan mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo ameahidi kusadia SAUDI ARABIA hadi vita hivyo vimalizike, akidai kwamba watatumia nguvu zote walizo nazo kushinda vita hivyo.
hata hivyo UTURUKI imeshiriki mkutano ambao umefanyika Riyath nchini SAUDIA ARABIA kwa mjibu wa vyombo vya habari.

Inaonekana wazi kwamba UTURUKI imeshiriki vita hivyo ili wa weze kumaliza mzozo huo ambao unaweza kuchukuwa mkondo mwingine wa kivita katika kanda hiyo.

Wakati vita hivyo vikiendelea dhidi ya SAUDIA bado mzozo wa Iran na Marekan unaendelea katika kandi hiyo.

egretnewseditor@gmail.com

RELATED ARTICLES
- Advertisment -
Google search engine

Most Popular

Recent Comments