Maandamano nchini Ufaransa (France) yanazidi kushaka kasi sana baada ya kuenea nchi nzima, police wa mejaribu kuzuia maadamano hayo lakini imeshindikana. Yalianzishwa na wanafunzi walio kuwa wakiomba serikali kulekebisha madarasa pamoja na kuleta walimu walio na uwezo wa kufunza na wa kutosha.
Baadaye walimu nao walijiunga na maadamano hayo, baada ya kuona wazazi wameshiriki maadamano hayo. Yarinzia kwanye shule 500, takribani wiki 2 yakashika kaasi hata nchi nzima.
Sasa maadamano hayo hata yamefika nshini Albania kusini mwa Europa Zaidi ya wiki moja waandamanaji wakiandamana dhidi ya serikali ya Waziri Mkuu wa Albania Edi Rama yaliendelea katika mji mkuu, Tirana, kwa siku ya sita mfululizo Jumapili, huku waziri mkuu akikataa kujiuzulu licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa waandamanaji.
Mamia ya waandamanaji walikusanyika nje ya Wizara ya Elimu mchana, wakiimba “Rama, jiuzulu” katika mzozo mkali na polisi, ambao baadaye walitumia mizinga ya maji na gesi ya machozi kutawanya umati.
Maandamano hayo yamevutia maelfu ya watu wakidai hali bora za vyuo vikuu, ada ya chini ya masomo na hatua dhidi ya ufisadi.
egretnewseditor@gmail.com
