Home Top News Ufaransa yapoteza watu elfu 80000 kwasababu ya joto kali haijawahi kutokea

Ufaransa yapoteza watu elfu 80000 kwasababu ya joto kali haijawahi kutokea

0

Ufaransa imekumbwa na msimu wa joto kali zaidi kuwahi kushuhudiwa tangu mwaka 1900, hali iliyosababisha karibu vifo 8,000 vinavyohusishwa na mawimbi makali ya joto. Takwimu zilizotolewa na mamlaka za afya zinaonyesha kuwa watu 7,919 walifariki kati ya mwishoni mwa Mei na Agosti 20 kutokana na athari za halijoto ya juu.

Takwimu hizi zinaonyesha ukubwa wa athari za mabadiliko ya hali ya hewa na changamoto zinazoikabili Ufaransa, ambapo sehemu kubwa ya miundombinu bado haijaandaliwa vya kutosha kukabiliana na joto kali kupita kiasi.

egretnewseditor@gmail.com 

Translate »
Exit mobile version
Skip to toolbar